Chorus / Description :
Yupo mwenye majibu, yeye asiyelala
Ndio kwake ndio, hakuna akuna
Ufumu hauwezi kukusaidia
Rafiki hawezi kukusaidia
Ukuyu hauwezi kukusaidia
Mpenzi hawezi kukusaidia
Umeshindwa hilo hilo
Kwa mwanadamu hilo hilo
Ulilete hilo hilo
Kwa Bwana Yesu hilo hilo
Amesema anatenda umwamini yeye
Hatawai acha neno lipotee
Amesema atatenda nimeona
Hajawai shindwa kitu mfalme
Nira yake moja inabadili maisha
Nira yake moja huleta amani
Akisema sawa utaheshimiswa
Mwite tu, mwite tu, mwite tu
Yupo mwenye majibu, yeye asiyelala
Ndio kwake ndio, hakuna akuna
Yupo mwenye majibu, yeye asiyelala
Ndio kwake ndio, hakuna akuna
Kiti cha enzi, kiti cha sifa
Nyenyekea utapata majibu
Kiti cha karne zamani zote
Amini amini kuna jibu
Ameketi kwenye enzi hakuna jambo gumu tena
Kama afya na uzima lolote amini amini
Anajua maumivu, anaona na machozi
Yeye ni Baba, yeye mlezi daima daima daima
Nira yake moja inabadili maisha
Nira yake moja huleta amani
Akisema sawa utaheshimiswa
Mwite tu, mwite tu, mwite tu
Yupo mwenye majibu, yeye asiyelala
Ndio kwake ndio, hakuna akuna
Yupo mwenye majibu, yeye asiyelala
Ndio kwake ndio, hakuna akuna
Yupo mwenye majibu, yeye asiyelala
Ndio kwake ndio, hakuna akuna
Yupo mwenye majibu, yeye asiyelala
Ndio kwake ndio, hakuna akuna
Tunakuangalia, tegemea, egemea Bwana
Mbawani mwako ni salama
Tena jamari wa majeshi, mshindi wa yote
Utashinda kwa heshima na anayo..
Yupo mwenye majibu, yeye asiyelala
Ndio kwake ndio, hakuna akuna