Chorus / Description :
Nena nami, nena nami Bwana
Sema Bwana na moyo wangu
Lisikie sauti yako
Bwana nena, nena nami
Nena nami, nena nami Bwana
Sema Bwana na moyo wangu
Lisikie sauti yako
Bwana nena, nena nami
Nimechoshwa na sauti za watu
Natamani sauti yako
Inielekeze kwa njia zako
Bwana nena, nena nami
Nena nami, nena nami Bwana
Sema Bwana na moyo wangu
Lisikie sauti yako
Bwana nena, nena nami
Moyo wangu uko wazi Bwana
Bwana sema nikusikie
Nifahamu kusudi lako
Bwana nenam, nena nami
Ninachokitaka ni kukusikia
Ukisema na moyo wangu
Kila siku ya maisha yangu
Bwana nena nami
Nena nami, nena nami Bwana
Sema Bwana na moyo wangu
Lisikie sauti yako
Bwana nena, nena nami
Bwana nena, nena nami