Adonai Nakupamba na sifa zangu Lyrics

Nakupamba na sifa zangu, Wewe kwangu Ebeneza (x3)

Nakuinua, wastahili, wapendeza, Mungu wangu
Jina lako, takatifu, wewe kwangu… Oh

Nakwita Adonai; Ewe U Bwana wangu
Nakwita Jehova Nissi; bendera yangu – vita ni vyako
Nakuita Jireh; hakuna chochote
Jehovah Shammah; pamoja nami

Meaning:
Honor you with my praises

Adonai Nakupamba na sifa zangu VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Adonai Nakupamba Na Sifa Zangu:

0 Comments/Reviews