Martha Mwangi - Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana

Chorus / Description : Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue

Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana Lyrics

Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Moyo wangu watamani nataka nikujue 
Moyo wangu watamani nataka nikujue .

Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue .

Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Nataka nikujue nikufahamu Bwana 
Moyo wangu watamani nataka nikujue 
Moyo wangu watamani nataka nikujue .


Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana Video

  • Song: Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana
  • Artist(s): Martha Mwangi


Share: