Chorus / Description :
Nipeleke mbali na kelele
Nipeleke mbali na kelele Baba
Iweke roho yangu kando ya maji ya utulivu Baba yooh
Intro
Iweke roho yangu kando ya maji ya utulivu baba yooh
Nipeleke mbali na kelele
Nipeleke mbali na kelele Baba
Nipeleke mbali na kelele
Nipeleke mbali na kelele Baba
Vita vya muovu mimi siwezi pekee
Nahitaji musaada kwako Baba
Vita vya muovu mimi siwezi pekee
Nahitaji musaada kwako Baba
Kelele za magonjwa
Kelele za maneno
Eh Baba sikia ombi langu niepushe
Kelele za ujanja kelele za fitina
Eh Baba sikia ombi langu niepushe
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu nikuchezee
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu ili nikuimbie
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu nikuabudu
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu ili nikuimbie
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu nikuabudu
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu ili nikuabudu
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu nikusifu
Kelele za magonjwa
Kelele za maneno
Eh Baba sikia ombi langu niepushe
Kelele za ujanja kelele za fitina
Eh Baba sikia ombi langu niepushe
...