Chorus / Description :
Dhambi zangu mimi zimenifunga
Ninaja tena na makosa
Ninakuja kwako uniokoe
Unisafishe unitakase Bwana
Dhambi zangu mimi zimenifunga
Ninaja tena na makosa
Ninakuja kwako uniokoe
Unisafishe unitakase Bwana
Dhambi zangu mimi zimenifunga
Ninaja tena na makosa
Ninakuja kwako uniokoe
Unisafishe unitakase Bwana
Dhambi zangu mimi zimenifunga
Ninaja tena na makosa
Ninakuja kwako uniokoe
Unisafishe unitakase Bwana
Naja kwako nikubali nitakase
Mimi mwenye dhambi nyingi
Nikubali nitakase
Naja kwako nikubali nitakase
Mimi mwenye dhambi nyingi
Nikubali nitakase