Chorus / Description :
Tunakuja tunakuja
Mbele zako eeh Bwana
Tunaomba tunaomba
Utupe amani yako ya kweli
Baba mwenye nguvu oh
Mungu wa rehema aah
Mbele ya uso wako tunakuja
Jehovah tunasogea kwenye kiti chako ooh
Twaleta maombi yetu yasikie (rudia)
Tunakuja tunakuja
Mbele zako eeh Bwana
Tunaomba tunaomba
Utupe amani yako ya kweli
Tumeona tumeona
Nguvu zako na mkono wako tumeuona Baba
Tumesikia neno lako
Linatutia nguvu linatubamba (rudia)
Amani ya kweli yatoka kwa Mungu aliye hai
Upendo wa kweli watoka kwa Mungu aliye hai
Furaha ya kweli watoka kwa Mungu aliye hai
Tumeona tumeona
Nguvu zako na mkono wako tumeuona Baba
Tumesikia neno lako
Linatutia nguvu linatubamba (rudia)