Nemaiyan - Alipo Bwana yote yawezekana.

Chorus / Description : Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Yeye ni Mungu wa majeshi, vita vikivuma ananipigia
Jehovah shalom, amani yangu amenipa amani yake
Jehovah rafah mponyaji wangu, aliponya magonjwa yote.

Alipo Bwana yote yawezekana. Lyrics

Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Alipo bwana yote yawezekana, alipo bwana alipo bwana.

Yeye ni Mungu wa majeshi, vita vikivuma ananipigia
ameshinda vita vyote, alipo huyu bwana mimi nimeshinda.
alipo huyu bwana yote yawezekana

Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Alipo bwana yote yawezekana, alipo bwana alipo bwana.

Jehovah shalom, amani yangu amenipa amani yake
inayopita ufahamu wote, alipo Jehovah shalom amani ni tele.
Alipo Jehovah shalom yote yawezekana

Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Alipo bwana yote yawezekana, alipo bwana alipo bwana.

Jehova rafah mponyaji wangu, aliponya magonjwa yote.
Alituma neno mimi nikapona, alipo Jehovah raafah mimi nimepona.
Alipo Jehovah rafah yote yawezekana.

Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Alipo bwana yote yawezekana, alipo bwana alipo bwana.

Alipo Bwana yote yawezekana. Video

  • Song: Alipo Bwana yote yawezekana.
  • Artist(s): Nemaiyan

Share: