Chorus / Description :
Heri heshima na enzi yako
Na enzi yako, na enzi yako
Heri nikuabudu kwa uzuri wako
Heri heshima na enzi yako
Na enzi yako, na enzi yako
Heri heshima na enzi yako
Na enzi yako, na enzi yako
Heri heshima na enzi yako
Na enzi yako, na enzi yako
Heri nikuabudu kwa uzuri wako
kwa uzuri wako, kwa uzuri wako