Paul Mwangosi - Ni Wewe Yesu

Chorus / Description : Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Utukufu na heshima
Vina wewe Yesu
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa

Ni Wewe Yesu Lyrics

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Utukufu na heshima 
Vina wewe Yesu 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Utukufu na heshima 
Vina wewe Yesu 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

"Ufalme wako ni ufalme usiotikisika 
Hauna mwisho Bwana wala hauna mwanzo 
Utukufu na nguvu na enzi ni vyako Yesu"

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Utukufu na heshima 
Vina wewe Yesu 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 

Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
Utukufu na heshima 
Vina wewe Yesu 
Ni wewe Yesu wa kuinuliwa 

Ni Wewe Yesu Video

  • Song: Ni Wewe Yesu
  • Artist(s): Paul Mwangosi


Share: