Chorus / Description :
Duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine
Jina Yesu likitajwa nainama nainama
Nainama nainama
Duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine
Jina Yesu likitajwa nainama nainama . .
Mwamba imara kwako niko salama
Nikupe nini Mungu usiyeshindwa
Mwamba imara kwako niko salama
Nikupe nini Mungu usiyeshindwa . .
Jina lako Yesu limeshinda yote
Nikipata Yesu nimepata yoote
Mkate wa uzima (niwe),
mfalme wa amani(niwe)
Mkate wa uzima (niwe),
mfalme wa amani(niwe) . .
Duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine
Jina Yesu likitajwa nainama nainama
Nainama nainama . .
Wakati wa dhiki, wewe ndiwe faraja
Wakati wa kilio wewe ndiwe furaha
Unanijua baba siwezi jificha
Macho yako Baba yako kila pahali . .
Jina lako Yesu limeshinda yote
Nikipata Yesu nimepata yooote
Mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe)
Mkate wa uzima (niwe),
mfalme wa amani(niwe) Niwe niwe niwe . .
Duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine
Jina Yesu likitajwa nainama nainama Nainama nainama