Chorus / Description :
Mtu wa maana (mtu wa maana), ndiye Yesu ndiye Yesu
Kitu cha maana (kitu cha maana), kumpenda Yesu
ndiye Yesu , ndiye
Nilitaka nijulikane mie iyee
Niongee waniskie, tushindane nishinde
Na nilitaka nikuwe na sifa aa ah
Munasimama punde nikifika (alikuwa na maana)
Na nilitaka niwe na dereva mtu wa kunifuata
Kumbe ba...
Joto ikizidi nipepetwe, nikijam nichekeshwe
Mambo haya yote (alikuwa na maana)
Mtu wa maana (mtu wa maana), ndiye Yesu
Kitu cha maana (kitu cha maana), kumpenda Yesu
Ndiye ndiye Yesu
Nilipata rafiki adui, nikiwa nazo wazuri
Nikikosa hawanitambui (hawakuwa wa maana)
Nilitaka mchana yellow yellow yellow kumaanisha ipo
Sikutaka wello (alikuwa wa maana)