Chorus / Description :
Tutafika kilele
Oh Tutafika kilele
Tutafika kilele (tukiwa na Yesu)
Kilele kilele kilele
Oh Tutafika kilele
Oh Tutafika kilele
Tutafika kilele (tukiwa na Yesu)
Kilele kilele kilele
Hii mambo si ngumu usicomplicate
Macho ya Bwana hayalali hayasinzii
Alinitoa mbali na vile nilikuwa vizii
Kijana wa umaskini ameshika shilingi
Ametoa Lingala ya Yesu na bado anatia bidii
Akisema atakubariki sio uongo
Akisema atakubariki uliza, Jemimah Thiong?o
Your dreams are valid
No matter where you are from
Kama huamini uliza Lupita Nyong?o .
Ingawa shida ni nyingi, ni nyingi, ni nyingi ni mob
Nazo raha ni haba, ni haba, ni haba ni kidogo
Ingawa shida ni nyingi, ni nyingi, ni nyingi ni mob
Nazo raha ni haba, ni haba, ni haba ni haba,ni kidogo
Whoa!
Tukunje shati, tuanze kazi
Tupige magoti, tuanze maombi .
Tutafika kilele
Oh Tutafika kilele
Tutafika kilele (tukiwa na Yesu)
Kilele kilele kilele
Oh Tutafika kilele
Oh Tutafika kilele
Tutafika kilele (tukiwa na Yesu)
Kilele kilele kilele .
Alikulipia deni msalabani
Ya mama mboga atashindwa kiaje
Alilipia Jonah safari, samaki airline
Visa yako, amesema, ?That?s fine?
Akutoe kwa mathree, akuweke kwa Merc II
Na kama hauna mtu akupee plus 1
Akutoe kwa mathree, akuweke kwa Merc II
Na kama hauna mtu akupee plus 1 .
Ingawa shida ni nyingi, ni nyingi, ni nyingi ni mob
Nazo raha ni haba, ni haba, ni haba ni kidogo
Ingawa shida ni nyingi, ni nyingi, ni nyingi ni mob
Nazo raha ni haba, ni haba, ni haba ni kidogo
Whoa!
Tukunje shati, tuanze kazi
Tupige magoti, tuanze maombi .
Tutafika kilele
Oh Tutafika kilele
Tutafika kilele (tukiwa na Yesu)
Kilele kilele kilele
Oh Tutafika kilele
Oh Tutafika kilele
Tutafika kilele (tukiwa na Yesu)
Kilele kilele kilele
Tutafika kilele
Oh Tutafika kilele
Tutafika kilele (tukiwa na Yesu)
Kilele kilele kilele
Oh Tutafika kilele
Oh Tutafika kilele
Tutafika kilele (tukiwa na Yesu)
Kilele kilele kilele .
Kwa muziki eeh tutafika kilele
Kwa masomo eeh tutafika kilele
Tutafika eh tutafika kilele
Tutafika eh tutafika kilele
Kilele,kilele , kilele, kilele, kilele, oh kilele