Chorus / Description :
Yupo Yupo, avunjaye nira zote
Na kubeba mizigo mizito
Yupo Yupo, Kurejesha tumaini
Kuwainua wanyonge
Njooni nyote, mkabidhini mizigo yenyu
Atawabebea maana Yupo
Yupo Yupo, Yupo Yupo
Yupo Yupo, Yupo Yupo
Upo upako wa ajabu humu
Upo utulivu angani
Njoni kwake Yesu ni muweza
Atawatuliza maana Yupo
Yupo Yupo, avunjaye nira zote
Na kubeba mizigo mizito
Yupo Yupo, Kurejesha tumaini
Kuwainua wanyonge
Njooni nyote, mkabidhini mizigo yenyu
Atawabebea maana Yupo
Mbona mwakawia kuja kwake
Neema kuu ipo ya ajabu
Njooni kwake sasa msihofu
Maana Mtamuona Yupo
Yupo Yupo, avunjaye nira zote
Na kubeba mizigo mizito
Yupo Yupo, Kurejesha tumaini
Kuwainua wanyonge
Njooni nyote, mkabidhini mizigo yenyu
Atawabebea maana Yupo