Chorus / Description :
Nimebaki na wewe (nawe)
Nimebaki nawewe nisaidie
Nimebaki na wewe niepushe
Yesu kawauliza wanafunzi wake
Je nani mwataka kuniacha
Je nani mwataka kuniacha
Yesu kawaambia wanafunzi wake
Yesu kawauliza wanafunzi wake
Je nani mwataka kuniacha
Je nani mwataka kuniacha
Petro akamwambia Yesu Bwana Wetu
Tukuache wewe twende kwa nani
Petro akamwambia Yesu Bwana Wetu
Tukuache wewe twende kwa nani
Petro akamwambia Yesu Bwana Wetu
Tukuache wewe twende kwa nani
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nidharauliwe nitabaki na wewe Mungu
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nidharauliwe nitabaki na wewe Mungu
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nipite kwenye mabonde nitabaki na wewe Mungu
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nidhaminiwe nitabaki na wewe Mungu
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nibaki mwenyewe nitabaki na wewe Mungu
Nimebaki na wewe (nawe)
Nimebaki nawewe nisaidie
Nimebaki na wewe niepushe
Nilikuwa sijakujua Mungu wewe
Sasa nimekutambua Mungu wangu
Nilikuwa sijakujua Mungu wee
Sasa nimekujua Mungu wangu
Akili yangu ilipofika mwisho
Tuliinua sasa nimekutambua Mungu wangu
Nilipokuwa ni mgonjwa ukaniponya Bwana
Sasa nimekutambua Mungu wangu
Ndugu zangu waliponikataa wewe ukanikumbatia
Sasa nimekutambua Mungu wangu
Nimebaki na wewe, nimebaki na wewe
Na wewe wewe wewe
Nimebaki na wewe (nawe)
Nimebaki nawewe nisaidie
Nimebaki na wewe niepushe
Ndugu yangu mimi sijui unapitia nini maishani mwako
Mpendwa mimi sijui unapitia nini kazini pako
Rafiki mimi sijui unapitia nini kwenye ndoa yako
Unapopita kwenye magumu ya kukuvunja moyo
Wewe baki Mungu tu,
Mimi mwenyewe hapa nimbaki na Mungu
Nimebaki na wewe (nawe)
Nimebaki nawewe nisaidie
Nimebaki na wewe niepushe