Doudou Manengu - Kumtegemea Mwokozi

Chorus / Description : Tenzi 16 ('Tis so sweet to trust in Jesus)
Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa;
Kukubali neno lake Nina raha moyoni.
Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti;
Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli.

Kumtegemea Mwokozi Lyrics

KUMTEGEMEA MWOKOZI

Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa;
Kukubali neno lake Nina raha moyoni.

Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti;
Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli.

Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa,
Kuamini damu yake Nimeoshwa kamili.

Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti;
Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli.

Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa,
Kwake daima napata Uzima na amani.

Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti;
Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli.

Nafurahi kwa sababu Nimekutegemea;
Yesu, Mpendwa na Rafiki Uwe nami dawamu.

Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti;
Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli.

Kumtegemea Mwokozi Video

  • Song: Kumtegemea Mwokozi
  • Artist(s): Doudou Manengu


Share: