Fanuel Sedekia - Tumekuja

Chorus / Description : Tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu
Tukasahau nafsi zetu tukakuwaze wewe tu na kukwabudu wewe sskukwabudu maana ndiwe kristo bwana

Tumekuja Lyrics

Tumekuja!
Tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu
Tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu

Tumekuja nyumbani mwako na kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe kristo bwana
Tukasahau nafsi zetu
Tukakuwaze wewe tu na kukwabudu
Tukakuwaze wewe tu na kukwabudu
Tukasahau nafsi zetu tukakuwaze wewe tu na kukwabudu wewe sskukwabudu maana ndiwe kristo bwana
Wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu
Wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu

Wewe ni mtakatifu wangu nasimama mbele zako na kukwabudu wewe, kukwabudu maana ndiwe kristo bwana
Maana ndiwe kristo bwana �2
Kristo bwana! �5

Tumekuja Video

  • Song: Tumekuja
  • Artist(s): Fanuel Sedekia

Share: