Chorus / Description :
Wewe uketiye juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato
Umeweka wimbo kinywani mwangu
Bwana niimbe sifa zako
Umeniumba ili nikuabudu
Nakuabudu nakuabudu
Wewe uketiye juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato
Wewe uketiye juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato
Wewe ni Niko ambaye niko
Milele hilo ita, na milele ijayo
Sioni cha kunishibisha moyo wangu
Badala ya kukuabudu mtakatifu
Wewe uketiye juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato
Wewe uketiye juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato
Manukato (Manukato)
Kama sadaka ya Abeli (Manukato)
Kama zaburi ya Daudi (manukato)
Manukato (Manukato)
Kama sadaka ya Abeli (Manukato)
Kama zaburi ya Daudi (manukato)
Manukato manukato manukato (manukato)
Haleluya Haleluya Haleluyaa (manukato)
Nakupenda Bwana wimbo huu ukawe (Manukato)