Cathy Nyundo - U Mwema

Chorus / Description : U Mwema ( You are good)
U Mwema ( You are good)
U Mwema ( You are good)
Jana Leo Daima wewe ni Yule Yule. ( Yesterday, today and forever more you remain the same)

U Mwema Lyrics

Pre Chorus
U mwema
U mwema

Chorus
U Mwema ( You are good)
U Mwema ( You are good)
U Mwema ( You are good)
Jana Leo Daima wewe ni Yule Yule. ( Yesterday, today and forever more you remain the same)

Verse 1:
Yale umenitendea Messiah (All what you have done for me Messiah)
Yale umeniwazia mie (All the thoughts that you have towards me)
Hayaelezeki ( They are unexplainable)
Hayahesabiki (They cannot be counted)
U mwema Sana. (You are so good)
Nipitiapo maji mengi au moto (Though i walk upon many waters or through the fire)
Nafahamu U pamoja nami ( I know that you are with me)
Sitagharikishwa ( I will not drown )
Siweziteketea ( I will not get burnt)
U Mwema Sana (You are so good)

Chorus
U Mwema ( You are good)
U Mwema ( You are good)
U Mwema ( You are good)
Jana Leo Daima wewe ni Yule Yule. ( Yesterday, today and forever more you remain the same)

Verse 2
Watengeneza njia pasipo njia ( You make a way where there is no way)
Hujaruhusu niteleze (You have not suffered my foot to slip)
Watesi wangu, hawajashinda ( My enemies have not triumphed over me)
U Mwema sana (You are so good)
Nipitiapo maji mengi au moto (Though i walk upon many waters or through the fire)
Nafahamu U pamoja nami ( I know that you are with me)
Sitagharikishwa ( I will not drown )
Siweziteketea ( I will not get burnt)
U Mwema sana (You are so good)

Bridge 1
Mfalme wa Mataifa ( King over the Nations)
Shujaa wa Vita ( Mighty in Battle)
Mtukufu wa Utukufu ( King of Glory)
Wamilele ndiye Yesu (Everlasting Jesus)

Bridge 2
Hubadiliki (Unchanging)
U Mwaminifu (Ever Faithful)
Mweza Yote ( All Powerful)
Yahweh U mwema Sana (Yahweh you are so good)

Chorus
U Mwema ( You are good)
U Mwema ( You are good)
U Mwema ( You are good)
Jana Leo Daima wewe ni Yule Yule. ( Yesterday, today and forever more you remain the same)

U Mwema Video

  • Song: U Mwema
  • Artist(s): Cathy Nyundo

Share: