Cathy Nyundo - Mwaminifu

Chorus / Description : Hakuna jambo lolote
Ngumu nawe, nawe eeh eeh
Hakuna jambo lolote
Ngumu nawe, nawe
eeeh eeeh eeeh
Yesu....Yesu .....Yesu...
u mwaminifu Yesu

Mwaminifu Lyrics

Kama mvua ishukavyo na theluji (like rain and snow falls)
Toka mbiguni (from heaven)
Hivyo ndivyo neno la kinywa chako (just the same way your Word that proceedeth from your mouth
Halita rudi bure (will not come back empty) 
Litafanikiwa (but will prevail.)v e r s e 1:

Hugeuki hugeuki, ( there is no shadow of turning with you)
Hubadilishi nia (you are unchanging)
Wee sio mwanadamu, udanganye ( you are not a man that you should lie) 
Yesu u mwaminifu Yesu ( Jesus, you are so faithful lord)

c h o r u s:
Hakuna jambo lolote
Ngumu nawe, nawe eeh eeh
Hakuna jambo lolote 
Ngumu nawe, nawe
eeeh eeeh eeeh
Yesu....Yesu .....Yesu...
u mwaminifu Yesu

v e r s e 2:
watimiza ahadi ( you fulfill your promises)
Mungu wa agano ( covenant keeping God)
Hakuna jambo ( there is nothing)
Usilo weza ( that you cannot do)
Yesu u mwaminifu Yesu ( Jesus, you are faithful lord)

Hakuna jambo lolote
Ngumu nawe, nawe eeh eeh
Hakuna jambo lolote 
Ngumu nawe, nawe
eeeh eeeh eeeh
Yesu....Yesu .....Yesu...
u mwaminifu Yesu

B r i d g e:
Yesu....Yesu .....Yesu... (Jesus!)
U mwaminifu Yesu *2 (you are faithful oh lord)

c h o r u s:
Hakuna jambo lolote
Ngumu nawe, nawe eeh eeh
Hakuna jambo lolote 
Ngumu nawe, nawe
eeeh eeeh eeeh
Yesu....Yesu .....Yesu...
u mwaminifu Yesu

Mwaminifu Video

  • Song: Mwaminifu
  • Artist(s): Cathy Nyundo


Share: