Upendo Kilahiro - Unajibu Maombi

Chorus / Description : Unajibu maombi , unajibu maombi Nakuamini Bwana
Toka mbinguni sikia na kujibu, Nakuabudu Bwana
Umesema ikiwa watu wako Tulioitwa kwa jina lako Tutajinyenyekesha na kuomba na kutafuta uso wako
God Answers Prayers

Unajibu Maombi Lyrics

Unajubu maombi Unajibu maombi
Unajibu maombi Nakuamini Bwana

Ezekia alipougua alikulilia ukamsikia
Ukamponya na kumwongezea mwaka, Maana unajibu maombi,
Nami leo nakuita Baba usinifiche uso wako
Na wale waliokata tamaa, maana wewe u mwaminifu

Unajubu maombi Unajibu maombi
Unajibu maombi Nakuamini Bwana

Umesema ikiwa watu wako Tulioitwa kwa jina lako Tutajinyenyekesha na kuomba na kuutafuta uso wako
Na kuziacha njia zetu mbaya, utasikia toka mbinguni
Na kutusamehe maovu yetu na kuiponya nchi yetu

Unajubu maombi Unajibu maombi
Unajibu maombi Nakuamini Bwana

Nakuabudu Mungu mwaminifu, wewe ni Mungu usiyeshindwa.
Mungu unashika maagano nakuabudu Bwana
Sikio lako sio nzito, wewe ni Mungu uliyekaribu
Toka mbinguni sikia na kujibu, Nakuabudu Bwana

Unajubu maombi Unajibu maombi
Unajibu maombi Nakuamini Bwana

Unajubu maombi Unajibu maombi
Unajibu maombi Nakuamini Bwana

God Answers Prayers



Unajibu Maombi Video

  • Song: Unajibu Maombi
  • Artist(s): Upendo Kilahiro


Share: