Hakuna Usiloweza Lyrics

By Upendo Kilahiro

Lyrics

Tazama wewe ni Bwana 

Mungu wa wote wenye mwili 

Je kuna gumu lolote usiloliweza 


Tazama wewe ni Bwana 

Mungu wa wote wenye mwili 

Je kuna gumu lolote usiloweza 


Je kuna neno, kuna neno kuna neno

Usiloliweza


Hakuna usiloliweza

Hakuna usiloliweza

"Amon & Upendo Kilahiro Hakuna Usiloweza 'Nyimbo Za Kuabudu' Official Video"

Now Playing...