Chorus / Description :
Niacheni niimbe niacheni nicheze
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Niacheni niimbe niacheni nicheze
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Amenipa uzima, amenipa watoto
Yesu mwana wa Mungu, amejibu maombi yangu
Niacheni niimbe niacheni nicheze
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Yeye amenitoa chini chini
Ameniweka juu juu
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Niacheni niimbe niacheni nicheze
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Kanitoa kwenye shida,
akabariki biashara zangu
Yesu muweza yote amejibu maombi yangu
Niacheni niimbe niacheni nicheze
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Natembea kwa ujasiri, sababu ninaye Yesu
Simba wa kabila la Yuda, anashugulika nami
Niacheni niimbe niacheni nicheze
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Daktari alikupima, akasema huwezi kuzaa
Leo mwana wa Mungu amekupa watoto, imba
Niacheni niimbe niacheni nicheze
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Wamesema hutaolewa, wewe una mikosi
Yesu unayemtegemea amejibu maombi yako
Ulikuwa hauna kazi na wengine walikucheka
Leo Yesu mwana wa Mungu, ameondoa aibu
Niacheni niimbe niacheni nicheze
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu
Nimepandishwa cheo mimi (Yesu amejibu maombi yangu)
Amenibariki Yesu (Yesu amejibu maombi yangu)
Nimeinuliwa kazini (Yesu amejibu maombi yangu)
Amenipa furaha (Yesu amejibu maombi yangu)
Amenipa ushindi (Yesu amejibu maombi yangu)
Amenipa amani (Yesu amejibu maombi yangu)
Mi ninayo furaha (Yesu amejibu maombi yangu)
Amenipa uzima tele (Yesu amejibu maombi yangu)
Ni Yesu ni Yesu (Yesu amejibu maombi yangu)
Ni Bwana wa Mabwana (Yesu amejibu maombi yangu)
Simba wa Yuda (Yesu amejibu maombi yangu)
Ameponya wagonjwa (Yesu amejibu maombi yangu)
Ameondoa mateso yangu (Yesu amejibu maombi yangu)
Vipofu wameona (Yesu amejibu maombi yangu)
Na viwete wamtembea Baba (Yesu amejibu maombi yangu)
Na mapepo yamekimbia (Yesu amejibu maombi yangu)
Watu wamepona kwa jina la Yesu (Yesu amejibu maombi yangu)
Amenipa kazi nzuri (Yesu amejibu maombi yangu)
Amenipa mke mwema (Yesu amejibu maombi yangu)
Watoto wamefaulu masomo (Yesu amejibu maombi yangu)
Na shambani nimevuna mazao mengi (Yesu amejibu maombi yangu)