Chorus / Description :
Hii siyo ndoto yangu
Hii siyo ndoto yangu
Hapa nilipo siyo ndoto yangu
Naenda kiwango kingine
Hii siyo ndoto yangu
Hii siyo ndoto yangu
Hapa nilipo siyo ndoto yangu
Naenda kiwango kingine
Hii siyo ndoto yangu
Hii siyo ndoto yangu
Hapa nilipo siyo ndoto yangu
Naenda kiwango kingine
Kuna mahali nimetoka mahali ninakwenda
Hapa nipita tu
Hii siyo ndoto yangu
Hapa nilipo siyo ndoto yangu
Naenda kiwango kingine
Ndani yangu naona nafasi nyingine
Mbele yangu naona kiwango cha juu
Hali yangu naona kuinuliwa
Naenda kiwango kingine
Naenda viwango vingine
Naenda viwango vingine
Naenda viwango vingine
Utukufu uwe na utukufu
Kuitwa mwana biashara mdogo mdogo
Hii siyo ndoto yangu
Ndoto yangu ni kumiliki biashara kubwa kimataifa
Naenda kiwango kingine
Kuitwa mwimbaji mdogo mdogo
Hii siyo ndoto yangu
Ndoto yangu ni kuitwa muimbaji mkubwa ulimwengu
Naenda kiwango kingine
Kuitwa mfugaji mdogo mdogo
Hii siyo ndoto yangu
Ndoto yangu ni kumiliki mifugo wengi wasio na idadi
Naenda kiwango kingine
Kuitwa mkulima mdogo mdogo
Hii siyo ndoto yangu
Ndoto yangu ni kuwa mkulima mkubwa mkubwa
Naenda kiwango kingine
Kuitwa mchungaji mwenye kanisa dogo dogo
Hii siyo ndoto yangu
Ndoto yangu ni kumiliki kanisa yenye watu wengi
Naenda kiwango kingine
Kuna mahali nimetoka mahali ninakwenda
Hapa nipita tu
Naenda viwango vya juu
Eeeh Mungu wangu nisaidie
Naenda viwango vya juu kielimu
Naenda viwango vya juu kiuchumu
Naenda viwango vya juu kiuduma
Naenda viwango vya juu
Naenda viwango vingine
Naenda viwango vingine
Naenda viwango vingine
Utukufu kuwe na utukufu
Navuka naenda ng'ambo nyingine
Navuka naenda ng'ambo nyingine
Navuka naenda ng'ambo nyingine
Ng'ambo yangu ya ahadi zangu
Navuka naenda ng'ambo nyingine
Navuka naenda ng'ambo nyingine
Navuka naenda ng'ambo nyingine
Ng'ambo yangu ya ahadi zangu