Youths For Christ - Damu Yako Inaweza Yote

Chorus / Description : Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote
Damu yako simba wa Yudah
Damu yako Yesu inaweza yote

Damu Yako Inaweza Yote Lyrics

Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote
Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote

Damu yako simba wa Yudah
Damu yako yesu inaweza yote

Damu yako yaponya ukoma
Damu yako baba inaweza yote

Damu yako Yahweh inaweza yote
Damu yako yatembeza viwete
Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote

Damu yako simba wa yudah
Damu yako yesu
Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote

Tunakuinua mwana wa Mungu
Damu yako yesu
Damu yako mwana Mungu
Damu yako inaweza yote

Tunashangilia Simba wa Yudah
Damu yako Yesu Inaweza yote

Damu Yako Inaweza Yote Video

  • Song: Damu Yako Inaweza Yote
  • Artist(s): Youths For Christ


Share: