Baba Yetu wa Mbinguni
Yanipasa nishukuru
Isingelikuwa ni wewe
Singelipata wokovu
Mungu wetu wa mbinguni
Yanipata nishukuru
Usingemtuma mwanao
Nisingelipata wovu
Asante Bwana
Isingelikuwa ni wewe
Nisingelipata wokovu
Isingekuwa Yahweh
Isingelikuwa ni wewe
Nisingelipata wokovu
Baba Yetu wa Mbinguni
Yanipasa nishukuru
Isingelikuwa ni wewe
Singelipata wokovu
Lyrics Page
Isingelikuwa ni Wewe
1,952 views
Jun 6, 2026 updated