Panguza macho ili uone mbele Lyrics

by Zb | in Swahili

Walikusema, walikucheka,
lakini kesho mambo itakuwa shwari
mambo itakuwa shwari na wewe

Panguza macho, panguza macho ,
panguza macho ili uone mbele ,utacheka tena
Panguza macho, panguza macho ,
panguza macho ili uone mbele ,utacheka tena

Wale wale watu. ulikula nao, ulicheka nao,
ata kutembea, ulienda nao
unaona onaonana nao ,wako wapi
Walikuacha ukizubaa
walikuacha ukilia
hao,walikuacha ukiwa down
panguza machozi usilie
Kumbuka sarah alipata mtoto baada ya kuvumilia,
kesho itakuwa vyema na wewe

Panguza macho, panguza macho ,
panguza macho ili uone mbele ,utacheka tena
Panguza macho, panguza macho ,
panguza macho ili uone mbele ,utacheka tena

Shamba ni yako, wanakupeleka kortini, ufanye nini?
gari umenunua sura baya wakapita nayo, wakutakia nini?
ata huko kazini moto umewaka, wanataka nini?
ulidhani umepata lazizi ,kumbe ilikuwa bure.
akutesea nini unaonaonaonana nao,wako wapi?
Walikuacha ukizubaa , Wako wapi?
walikuacha ukilia, hao,walikuacha ukiwa down,(they left you while u where stressed)
Eeh panguza machozi usilie safari bado,
kilio kinaweza kuwa usiku furaha inakuja asubuhi ,
wewe utacheka tena

Panguza macho, panguza macho ,
panguza macho ili uone mbele ,utacheka tena
Panguza macho, panguza macho ,
panguza macho ili uone mbele ,utacheka tena

Baba, baba, baba, baba x2 ,anaweza
Baba wa mbinguni baba wangu mie,Anaweza
Walikupa kisongo wakaenda
Kesho watakupa saluti
Mungu wetu hana ubaguzi ,anakuona

Panguza macho, panguza macho ,
panguza macho ili uone mbele ,utacheka tena
Panguza macho, panguza macho ,
panguza macho ili uone mbele ,utacheka tena

Panguza macho ili uone mbele VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Panguza Macho Ili Uone Mbele:

0 Comments/Reviews