Zoravo - Majeshi Ya Malaika

Chorus / Description : Majeshi Ya Malaika,Yanapaza Sauti Yakisema, Mtakatifu ni Bwana
Maelfu Kwa Maelfu tunapaza sauti tukisema, Mtakatifu ni Bwana
Na Sisi Watoto Wako tunapaza sauti tukisema, Mtakatifu Ni Bwana

Majeshi Ya Malaika Lyrics

Majeshi Ya Malaika,Yanapaza Sauti Yakisema, Mtakatifu ni Bwana 

Ni Bwana Ni Bwana Ni Bwana Mtakatifu ni Bwana

Majeshi Ya Malaika Video

  • Song: Majeshi Ya Malaika
  • Artist(s): Zoravo

Zoravo - Majeshi Ya Malaika (Mtakatifu Ni Bwana) | official live Video

Video Director : Amigo Johnson Audio Mixing & Mastering: Gordon Tamie Bimha (Naletha Media) Audio Capturing: Mujwahuki ...Share: