Nimesogea enzini pako ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme umeinuliwa .
Nimesogea enzini pako ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme umeinuliwa .
Nimesogea enzini pako ninakuabudu
Wewe ni mkuu, wewe ni mfalme umeinuliwa .
Haleluya Bwana twaliinua jina lako takatifu
Haleluya Bwana Wewe ni mkuu Wewe ni mkuu .
Wastahili wastahili, wastahili Bwana
Write a review/comment/correct the lyrics of Nimesogea: