Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe

Chorus / Description : Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindani mwenyewe
Ninashindiwa na Baba

Sipiganagi Mwenyewe Lyrics

Mwenzio sipiganagi mwenyewe 
Ninapiganiwa na Baba 
Mwenzio sishindanangi mwenyewe 
Ninashindiwa na Baba 
Mwenzio sipiganagi mwenyewe 
Ninapiganiwa na Baba 

Mwenzio sipiganagi mwenyewe 
Mwenzio sishindani mwenyewe 
Mimi vita sijui 
Mimi vita siwezi 
Asema nitulie atajibu 

Kuna majira vita huja kwangu 
Kuna majira watesi waliniunikia 
Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe 
Nikasikia sauti, sauti imebeba ushindi wangu 
Ikaniambia mimi ni Baba Yako 
Usipigane mwenyewe mwanangu 

Mwenzio sipiganagi mwenyewe 
Ninapiganiwa na Baba 
Mwenzio sishindani mwenyewe 
Ninashindiwa na Baba 
Mwenzio vita nimekataa 
Ninapiganiwa na Baba

Sipiganagi Mwenyewe Video

  • Song: Sipiganagi Mwenyewe
  • Artist(s): Martha Mwaipaja
  • Album: Sipiganagi Mwenyewe - Single
  • Release Date: 23 Nov 2019
Sipiganagi Mwenyewe Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: