Chorus / Description :
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Mwanzo mpaka mwisho wewe unatawala
Nani alishatawala badala yako baba
Wacha wote tuseme tu wewe ndiwe mtawala
Unatawala kwa haki tofauti na wanadamu
Yesu ni wa haki wewe ni wa haki
Unatupenda wote sawa ulinzi bure umetupa
Neema bure umetupa nani kama wewe
Mimi naweza imba sifa zako wengine wajue
Mimi hivi nilivyo leo ni kwa neema yako wewe
Wengine hivi walivyo ni kwa neema yako wewe
Ni nani tena kama wewe pekee yako utadumu
Ni nani tena kama wewe pekee yako utadumu
Wewe Baba eeh
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Umenitosheleza wewe pekee yako unadumu.
Hata wengine wakipinga bado wewe unadumu.
Hujawai kuumbwa Baba lakini umeumba.
Sifa zote nakupa Baba ushukuriwe Baba.
Wewe Baba ni Baba wa kweli wewe ni Mungu wa haki.
Uhimidiwe Baba pekee yako unadumu uuuu.
Hata wengine wakipinga bado wewe unadumu.
Umenitosheleza wewe pekee yako unadumu.
Ni baba wewe ni Mungu wewe,
Ni Baba wewe wa kuogopwa leo eeh
Sivume kwako sifa.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Ni lipi kwako Baba lisilojulikana.
Dunia yote Baba ni kazi yako wewe.
wanadamu ni kazi yako na vyote vilivyomo.
Ni Mungu wa kuogopwa pekee yako ni Mungu.
Unadumu daima pekee yako ni Mungu.
Moyo unaweza imba yale umenitendea.
Umetupenda wanyonge pekee yako ni Mungu.
Asante kwa neema hiyo ni Mungu wa upendo.
Sifa zirudi kwako.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.
Sifa zivume zirudi kwako
ewe Mungu wetu.