MJCN Goma - Nifanane Nawe

Chorus / Description : Nifanane nawe Bwana
Nifanane nawe
Nifanane nawe Bwana
Nifanane nawe

Nifanane Nawe Lyrics

Jinsi nilivyo naja leo, 
Nashuka chini yako mimi. 
Jinsi nilivyo naja leo, 
Nashuka chini yako mimi.
ooh oh oh, oh oh ooh 
ooh oh oh, oh oh ooh 

Jinsi nilivyo naja leo, 
Nashuka chini yako mimi. 
Jinsi nilivyo naja leo, 
Nashuka chini yako mimi. 

Nasogea nasogea 
Nimeshuka chini 
Nasogea nasogea 
Nimeshuka chini 
Nasogea nasogea 
Nimeshuka chini 

Nifanane nawe Bwana 
Nifanane nawe 
Nifanane nawe Bwana 
Nifanane nawe 
Nifanane nawe Bwana 
Nifanane nawe 

(Mavazi yangu Bwana)
Yafanane nawe Bwana 
Yafanane nawe 
(Jamaa yangu Bwana)
Wafanane nawe Bwana 
Wafanane nawe 
(Wazazi wangu BWana) 
Wafanane nawe Bwana 
Wafanane nawe 
(Huduma yangu Bwana) 
Nifanane nawe Bwana 
Nifanane nawe 
(Maisha yangu Bwana)
...

Nifanane Nawe Video

  • Song: Nifanane Nawe
  • Artist(s): MJCN Goma


Share: