Chorus / Description :
Nifanane nawe Bwana
Nifanane nawe
Nifanane nawe Bwana
Nifanane nawe
Jinsi nilivyo naja leo,
Nashuka chini yako mimi.
Jinsi nilivyo naja leo,
Nashuka chini yako mimi.
ooh oh oh, oh oh ooh
ooh oh oh, oh oh ooh
Jinsi nilivyo naja leo,
Nashuka chini yako mimi.
Jinsi nilivyo naja leo,
Nashuka chini yako mimi.
Nasogea nasogea
Nimeshuka chini
Nasogea nasogea
Nimeshuka chini
Nasogea nasogea
Nimeshuka chini
Nifanane nawe Bwana
Nifanane nawe
Nifanane nawe Bwana
Nifanane nawe
Nifanane nawe Bwana
Nifanane nawe
(Mavazi yangu Bwana)
Yafanane nawe Bwana
Yafanane nawe
(Jamaa yangu Bwana)
Wafanane nawe Bwana
Wafanane nawe
(Wazazi wangu BWana)
Wafanane nawe Bwana
Wafanane nawe
(Huduma yangu Bwana)
Nifanane nawe Bwana
Nifanane nawe
(Maisha yangu Bwana)
...