Karibu Zaidi Na Wewe Mungu Wangu Lyrics

Swahili Songs Playlist Music Videos

Karibu Zaidi Na Wewe Mungu Wangu Lyrics

Mp3 Song

Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe,
Karibu zaidi Mungu wangu.

Mimi nasafiri Duniani,
Pa kupumzika Sipaoni,
Nilalapo niwe Karibu na wewe,
Karibu zaidin Mungu wangu.

Na kwa nguvu zangu Nikusifu;
Mwamba, uwe maji Ya wokovu;
Mashakani niwe Karibu na wewe;
Karibu zaidi Mungu wangu.

Na nyumbani mwa juu, Baba yangu,
Zikikoma hapa Siku zangu,
Kwa furaha niwe Pamoja na wewe,
Karibu kabisa Mungu wangu.


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Karibu Zaidi Na Wewe Mungu Wangu:

0 Comments/Reviews