Nuru Kitambo - Nimesogea Mtini Pako

Chorus / Description : Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako
Nasikia kuitwa na sauti yako
Nikasafiwe kwa damu, Ya kwangikwa kwako.
Ni mnyonge kweli,Umenipa nguvu,
Ulivyonisafi taka, Ni utimilivu.

Nimesogea Mtini Pako Lyrics

Nasikia kuitwa na sauti yako
Nikasafiwe kwa damu, Ya kwangikwa kwako.

Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako

Ni mnyonge kweli,Umenipa nguvu,
Ulivyonisafi taka, Ni utimilivu.

Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako

Yesu hunijuvya; Mapenzi, imani;
Tumai, amani, radhi, Hapa na Mbinguni.

Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako

Huipa imara, Kazi yake, ndani:
Huongezeka neema, Ashindwe Shetani.

Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako

Huishuhudia, Myoyo ya imani
Ya kuzipata ahadi, Wakimuamini.

Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako

Napata wokovu, Wema na neema;
kwako Bwana nina nguvu, Na haki daima

Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako

Nimesogea Mtini Pako Video

  • Song: Nimesogea Mtini Pako
  • Artist(s): Nuru Kitambo


Share: