Paul Mwangosi - Umeniosha

Chorus / Description : Umeniosha Bwana
kwa damu yako
Nimesogea mtini pako
Unisafi kwa damu
Ya kuangikwa kwako

Umeniosha Lyrics

Umeniosha Bwana 
kwa damu yako 
Umeniosha Bwana 
Kwa damu yako 
Umeniosha Bwana 
Kwa damu yako 

Nasikia kuitwa 
Na sauti yako 
Nikasafiwe kwa damu 
Ya kuangikwa kwako 

Nimesogea mtini pako 
Unisafi kwa damu 
Ya kuangikwa kwako

Umeniosha Video

  • Song: Umeniosha
  • Artist(s): Paul Mwangosi


Share: