Mbele ninaendelea - Ee Bwana Uniunue Lyrics + Video

Swahili Songs Playlist Music Videos

Mbele ninaendelea - Ee Bwana Uniunue Lyrics

Mp3 Song

Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
maombi uyasikie eeh bwana unipandishe

Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
nipande milima yote ee bwana unipandshe

Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
hapo wengi wanakaa kuendelea naomba
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
natazamia mbinguni nitafika kwa imani

Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
nipande milima yote ee bwana unipandshe

Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe
Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe

Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
nipande milima yote ee bwana unipandshe

Also Sung by Joel Lwaga
Equivalence:
Lord lift me up, lord lift me up and let me stand

...


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mbele Ninaendelea - Ee Bwana Uniunue:

1 Comments/Reviews

  • Laurence Nakure

    wimbo lenyewe lafunza 3 months ago