Sarah K - Nasema Asante

Chorus / Description : Nasema asante kwa Mungu wangu
Nasema asante kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.

Nasema Asante Lyrics

Nasema asante kwa Mungu wangu
Nasema Asante kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.

Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.
Oooh nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.

Nasema asante kwa Mungu wangu
Nasema asante kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.

Mungu nasema asante Baba,Nasema asanti kwa wema Wako
Nakushukuru, nakushukuru Wewe, Umenitendea makubwa
Nainua Jina Lako, natukuza Jina Lako, Unastahili Baba, Unastahili kuinuliwa
Unastahili sifa na utukufu,Wewe ni wa ajabu
Umenilinda Baba, Umeniponya, Umeni-inua, Umenibariki
Haleluya Jehova Jire Nakuinua, nasema asanti Baba, asanti kwa wema wako
Nakushukuru, Wewe ni Alpha na Omega. Wewe ni mwanzo na ni mwisho
Hakuna mwingine Baba, Haleluya nakupenda, nakuinua, nakutukuza

Nasema asante kwa Mungu wangu
Nasema asante kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.

Nasema asante kwa Mungu wangu
Nasema asante kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.

Nasema Asante Video

  • Song: Nasema Asante
  • Artist(s): Sarah K

Share: