Kuliko Jana

By Sauti Sol

Lyrics

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki


Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Kuliko Jana Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana


Nakuomba Mungu awasamehe

Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema

Na maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki

Ujue binadamu ni waajabu sana

Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika

Ujue binadamu ni waajabu sana

Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita


Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana 

Kuliko Jana Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Kuliko Jana Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana


Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea

Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea(ooh yeah)

Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)

Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea 

(wewe, ndiwe nategemea)

Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)

Chochote kitanikasia, kuingia mbinguni utaniondolea 

(Eh, maisha yangu yote)

Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)

Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh)


Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana Kuliko Jana

Nipende leo Kuliko Jana


Chorus English Translation

The Lord is my savior, again He is my redeemer

He loves me more today than yesterday

His blessings never cease, He's never changes like a human being

He loves me more today than yesterday

More than yesterday, more than yesterday


Perfomed by Redfourth Chorus(Upper Hill School Choir)

Sauti Sol - Kuliko Jana ft (RedFourth Chorus) SMS [Skiza 1069356] to 811