Nakutegemea

By Sylvia Akoth

Lyrics

Yesu nakutegemea, Yesu nakutegemea 

Unishikilie nakutegema 

Usiniachilie nakutegemea 


Nimekuwa kwa mlima huu nikikutafuta wewe 

Wewe uniwezeshaye nakuita aaah 

Tangu nikujue hujawai niwache nipotee 

Tangu nikujue hujawai niacha nimezww na dunia 


Yesu nakutegemea, Yesu nakutegemea 

Unishikilie nakutegemea 

Usiniachilie nakutegemea 


Nainua macho yangu kwako 

Nakutazamia wewe pekee yako ooh 

Anayekutegemea ni kama mlima wa sayuni 

Hatatingizwa kamwe 

Unavyozingira Yerusalemu hivyo ndivyo 

Unavyonizingira mimi 

Ninakutegemea leo, ninakutazamia leo leo leo Baba 


Oooh ooh oh oh 

Sina mwingine kama wewe 

Nakutegemea 

Asante wewe 

Nakupenda 

kamtoa mwana wako kwa ajili yangu 

Niwe na uzima wa milele 

Nani mwingine angeweza ...