Nuru Kitambo - Yesu Kwetu ni Rafiki

Chorus / Description : Tenzi 9 (What A Friend We have in Jesus)
Yesu kwetu ni rafiki, Hwamiwa haja pia;
Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia;
Lakini twajikosesha, Twajitweka vibaya;
Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia.

Yesu Kwetu ni Rafiki Lyrics

1.Yesu kwetu ni rafiki, Huambiwa haja pia;
Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia;
Lakini twajikosesha, Twajitweka vibaya;
Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia.

2. Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia.
Haifai kufa moyo, Dua atasikia
Hakuna mwingine mwema Wa kutuhurumia;
Atujua tu dhaifu; Maombi asikia.

3. Je, hunayo hata nguvu, Huwezi kuendelea,
Ujapodharauliwa Ujaporushwa pia, Watu wange kudharau,
Wapendao dunia, Hukwambata mikononi, Dua atasikia.

Yesu Kwetu ni Rafiki Video

  • Song: Yesu Kwetu ni Rafiki
  • Artist(s): Nuru Kitambo


Share: