The Saints Ministers - Ajua Yote Mwamini

Chorus / Description : Ajua yaliyo moyoni mwako
Mateso umeyapitia
Ni mwema hatakuacha

Ajua Yote Mwamini Lyrics

Yesu ajua machungu yako 
Ameona machozi yako 
Asema niko nawe mpendwa 
Usiogope chochote 

Mwamini mwokozi ajua yote 
Nakusihi mwachie akushugulie kamilifu 

Ajua yaliyo moyoni mwako 
Mateso umeyapitia 
Ni mwema hatakuacha 

Mwamini mwokozi ajua yote 
Nakusihi mwachie akushugulie kamilifu 

Ajua Yote Mwamini Video

  • Song: Ajua Yote Mwamini
  • Artist(s): The Saints Ministers


Share: