Danny Gift - Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele

Chorus / Description : Yesu ni wangu
Ni wa uzima wamilele
Yesu ni wangu
Ni Wa uzima wamilele
Yesu ni wa uzima (wamilele)
Wa uzima (wamilele)
Ni wa uzima (wamilele)

Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele Lyrics

Chorus
Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 
Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 

Guardian Angel:
Bwana Yesu ni mwokozi wangu 
(Wa uzima wa milele) 

Yesu ni wa uzima (wamilele) 
Wa uzima (wamilele) 
Wa uzima (wamilele) 

Niende wapi na kwako ndo kuna uzima 
We ndo wangu wa uzima (wamilele)  
Niende wapi na kwako ndo kuna uzima 
ni wako ni wangu wa uzima (wamilele) 
Nainua macho milimani 
Msaada wangu utatoka wapi? 
Msaada wangu utatoka kwako Bwana 

Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 
Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 
Yesu ni wa uzima (wamilele) 
Wa uzima (wamilele) 
Ni wa uzima (wamilele) 

Kama ni binadamu basi wangukuwa wanacontrol maisha 
Basi tungepata taabu kibao 
Kungekuwa na duka ya kuuza uzima 
Futi moja wangekuuzia zaidi ya thao 
Devil anakuja kukill steal and destroy 
But ulikuja ili tupate uzima kibao 
Mwambia (devil) ameshindwa ametupa mbao 
Mimi si wao (si wao) 
Jesus christ wewe ndio kiboko yao 
Na mimi nakwishia kwangu wewe ndiye fao 

Ni wa uzima (wa milele) 
Wa uzima (wamilele) 
We ndo njia, kweli na uzima 

Yesu ni wangu 
Ni wa uzima wamilele 
Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 
Yesu ni wa uzima (wamilele) 
Wa uzima (wamilele) 
Ni wa uzima (wamilele)

Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele Video

  • Song: Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele
  • Artist(s): Danny Gift + Guardian Angel


Share: