Sitakuacha

By Dr Ipyana

Lyrics

Ninakushukuru Yesu tukuza jina lako 

Wewe ni kila kitu kwangu 

Nionyeshe sura yako 

Nikujue zaidi Bwana 


Sitakuacha sitakuacha 

Umenionyesha wema wako 

(rudia *3) 


Mweza* wa siku Alpha Omega 

Mwanzo na mwisho wa imani Yetu 

Ulikuwapo upo utakuwapo 


Sitakuacha sitakuacha 

Umenionyesha wema wako 


Uuuuh uuu uuuuh 

aah aaaah 


Sitakuacha sitakuacha 

Umenionyesha wema wako 

...

Dr Ipyana feat. Gwamaka - Sitakuacha official live video