Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe Lyrics + Video

Swahili Songs Playlist Music Videos

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe Lyrics

Mp3 Song

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe (Mungu kama wewe)
Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe (Mungu kama wewe)
Mungu kama wewe, Mungu kama wewe
Baba (Baba aah), Baba (Baba aah)
Yesu (Yesu uuu), Yesu (Yesu uuu)
Baba (x8)
Yesu (x8)
Roho (x8)

Katika ya mataifa yote sijaona Mungu kama wewe

Katika ya masitu yote sijaona mtenda miujiza kama wewe

Hakuna kama wewe Mungu wa Eliya Ooh
Hakuna kama wewe Mungu wa Isaka Ooh
Mungu wa Danieli Hakuna kama wewe


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Katikati Ya Miungu Hakuna Mungu Kama Wewe:

0 Comments/Reviews