Chorus / Description :
Bwana waweza
Waweza, waweza Yesu
Waweza, waweza Yesu
Waweza, waweza Yesu
Ghai Wewe waweza Baba
Ghai Wewe waweza Baba
Una nguvu Yesu una nguvu
Una nguvu Yesu una nguvu
Waweza (waweza)
Waweza Yesu
Wewe una matendo yako mema tumeonja
Miujiza umetenda kweli tumeona
Waliofungwa kweli uliwaweka huru (tumeonja)
Asubuhi mchana na jioni tumeonja (Baba tumeonja)
Baba nimeingia tumeona kwa macho
Waweza Yesu (Yesu waweza)
Waweza waweza
Tumeona Baba ukitenda mema
Tumeona Baba
Miujiza yako ni mingi kwetu
Tumeona Baba
Tumeona Baba ukitukanya mioyo
Tumeona Baba
Nyakati za magamu ukitufuta machozi
Tumeona Baba
Nyakati za ukiwa umetukumbatia
Kutushika mkono kweli hatuwezi
Temeona
Bwana waweza
Waweza, waweza Yesu
Waweza, waweza Yesu
Waweza, waweza Yesu