Chorus / Description :
Mungu hawezi kukuacha njiani
Safari yako alianzisha mwenyewe
Asingetaka angukuacha mwanzoni
Unakokwenda Yeye anajua
Maana unaona haya hausogei
Uko palepale kila siku
Uko vilevile
Mungu aliyeanzisha
Yeye ataitimiza
Maana alikujua kabla hujajijua
Kabla hujazaliwa
Mungu hawezi kukuacha njiani
Safari yako alianzisha mwenyewe
Asingetaka angukuacha
Unakokwenda Yeye anajua
Mungu hawezi kukuacha njiani
Safari yako alianzisha mwenyewe
Asingetaka angukuacha mwanzoni
Unakokwenda Yeye anajua
Mungu hawezi kukuacha njiani
Safari yako alianzisha mwenyewe
Asingetaka angukuacha mwanzoni
Unakokwenda Yeye anajua
Anajua (anajua)
Anajua (anajua)
Ulikotoka unakokwenda
Anajua (anajua)
Udhaifu wako
Anajua (anajua)
Maisha yako
Anajua (anajua)
Unyonge wako
Anajua (anajua)
Machozi yako
Anajua (anajua)
...