Aflewo - Africa Lets worship 2015 - Nitamwimbia Bwana Yeye Ni Mwema

Chorus / Description : Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema
Nitamsifu Yeye Kwani Yeye ni Mwema
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema
Yahweh Yahweh
Hakuna Muweza Yote kama Yeye
Dunia inamshangilia ayee

Africa Lets worship 2015 - Nitamwimbia Bwana Yeye Ni Mwema Lyrics

Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema
Nitamsifu Bwana Kwani Yeye ni Mwema
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema

Yahweh Yahweh
Hakuna Muweza Yote kama Yeye
Dunia inamshangilia ayee

Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema
Nitamsifu Yeye Kwani Yeye ni Mwema
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema
Nitamsifu Yahweh Kwani fadhili zake za milele
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema
Nitamwinua Yahweh kwani Yeye ni mwema

Yahweh Yahweh
Hakuna Muweza Yote kama Yeye
Dunia inamshangilia ayee
Mwambie
Hakuna Muweza Yote kama Yeye
Dunia inamshangilia ayee

Africa Lets worship 2015 - Nitamwimbia Bwana Yeye Ni Mwema Video

  • Song: Africa Lets worship 2015 - Nitamwimbia Bwana Yeye Ni Mwema
  • Artist(s): Aflewo


Share: