Chorus / Description :
Bwana naomba Bwana
Unitakase Mungu mwenye nguvu
Bwana naomba Bwana
nitawaliwe nawe
Bwana naomba Bwana unitakase
Mungu mwenye nguvu
Bwana naomba Bwana
nitawaliwe nawe (rudia)
Hii safari ni ndefu Bwana
Nahitaji neema yako
Bwana naomba ooh
Nitawaliwe nawe
Siwezi bila wewe eeh
Siwezi bila wewe uniongoze
Nakuhitaji mwokozi wangu
Nitawaliwe na wewe
Bwana naomba Bwana unitakase
Mungu mwenye nguvu
Bwana naomba Bwana
nitawaliwe nawe (rudia)
Naomba roho wako mtakatifu
Aniongoze safarini
Naomba Bwana nitawaliwe nawe
Haya mambo ya duniani
Yamekuwa mengi kuliko akili yangu Baba
Naomba Yesu uuh nitawaliwe nawe
Siwezi bila wewe
Bwana naomba Bwana
Unitakase Mungu mwenye nguvu
Bwana naomba Bwana
nitawaliwe nawe (rudia)
Ombi la moyo wangu
Moyo wangu wakulilia ewe Yesu
Naomba kila siku nitawaliwe nawe
Siwezi bila wewe, nitazama bila wewe
Nakuhitaji Bwana wangu nitawaliwe nawe
Unitakase Bwana
Bwana naomba Bwana
Unitakase Mungu mwenye nguvu
Bwana naomba Bwana
nitawaliwe nawe
Bwana naomba Bwana
Unitakase Mungu mwenye nguvu
Bwana naomba Bwana
nitawaliwe nawe