Ali Mukhwana - Pamoja Na Wewe

Chorus / Description : Pamoja na wewe
Pamoja na wewe
Katika safari yangu
Tatembea na wewe

Pamoja Na Wewe Lyrics

Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Pamoja Na Wewe Video

  • Song: Pamoja Na Wewe
  • Artist(s): Ali Mukhwana
  • Album: Mungu Wa Neema
  • Release Date: 26 Aug 2022
Pamoja Na Wewe Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: